%16$s ni huduma inayotolewa na %17$s (hapa ndani baadaye inarejelewa kama "Huawei", "nasi", "sisi", au "yetu"). Huawei inachukulia maelezo ya kibinafsi na faragha yako kimadhubuti, na inajitolea kuchukua hatua mwafaka za usalama ili kulinda maelezo yako ya kibinafsi kulingana na sheria husika na viwango vya usalama vilivyowekwa vya sekta.

Taarifa hii inafafanua:

1 Tunakusanya Data Gani Kukuhusu?

2 Tunatumia Data Yako Kivipi?

3 Tunahifadhi Data Yako kwa Muda Gani?

4 Tunashiriki Data Yako Kivipi?

5 Una Haki Zipi na Machaguo Yapi?

6 Utawasiliana Nasi Kivipi?

7 Tunasasisha Taarifa hii Kivipi?

1 Tunakusanya Data Gani Kukuhusu?

Kama sehemu ya Kiboreshaji, tutakusanya na kutumia tu maelezo yako ya kibinafsi kwa malengo yafuatayo yaliyofafanuliwa ndani ya Taarifa hii: Data ya kibinafsi inarejelea maelezo yoyote yanayowezesha Huawei kukutambua kama mtumiaji.

Tutakusanya na kusindika data ifuatayo:

Ili kukupa Huduma, Kiboreshaji kinahitaji ufikiaji wa Intaneti na kibali cha kufikia Orodha ya programu ili kusoma orodha ya programu zilizosakinishwa kwenye simu na hivyo kufanya uchanganuzi wa virusi.

Unaweza kudhibiti vibali vyako vya mfumo kutoka kwenye Mipangilio ya mfumo.

2 Tunatumia Data Yako Kivipi?

Ili kukupa huduma za Kiboreshaji na kutimiza majukumu ya kimkataba, Huawei itachakata na kutumia data yako ya kibinafsi kwa malengo ya kuchanganua virusi:

Data inatumiwa kama ifuatavyo:

Unaweza kupinga usindikaji huu kama ilivyoelezwa ndani ya Kifungu cha 5 hapo chini.

3 Tunahifadhi Data Yako kwa Muda Gani?

Tutabakisha data yako ya kibinafsi kwa muda usiozidi ule unaohitajika kwa malengo yaliyobainishwa ndani ya Taarifa hii.

Muda mahususi wa kuhifadhiwa kwa data yako ya kibinafsi kuhusiana na Kiboreshaji umebainishwa hapo chini:

Baada ya muda wa kuhifadhi kuisha, tutafuta au kuondoa jina kwenye data yako ya kibinafsi isipokuwa iwe inahitajika na sheria na kanuni.

%56$s

%57$s

%58$s

%62$s

%63$s

5 Una Haki Zipi na Machaguo Yapi?

Una haki ya kufikia na kufuta maelezo yako na kuondoa idhini yako ya matumizi ya maelezo. Ikiwa una maswali, maoni, au mapendekezo yoyote kuhusu haki zako za mada ya data, tafadhali wasiliana nasi kupitia maelezo ya mwasiliani yalitolewa katika Kifungu cha 6 cha Taarifa hii na utekeleze haki zako. Unaweza pia kupata maelezo zaidi kwa kurejelea Taarifa ya Faragha ya Biashara ya Mteja wa Huawei.

6 Utawasiliana Nasi Kivipi?

Ikiwa unahitaji kutekeleza haki zako za faragha, kuwasilisha lalamishi, au kumshauri Afisa wa Ulinzi wa Data (DPO) kuhusu ulinzi wa faragha, tafadhali zuru ukurasa wetu wa %55$s.

Ikiwa wewe ni mtumiaji ndani ya EU/EEA, unaweza kuwasiliana na Huawei Technologies Düsseldorf GmbH, mwakilishi wetu maalum, kupitia consumer_privacy_eu@huawei.com. Anwani ni Hansaallee 205, 40549 Düsseldorf, Ujerumani.

Anwani yetu: Huawei Device Co., Ltd. Namb. ya 2 Barabara ya Xincheng, Sehemu ya Ziwa la Songshan, Dongguan, Mkoa wa Guangdongi, Uchina. Msimbo wa Zip: 523808. Msimbo uliounganishwa wa sifa ya kijamii: 914419000585344943.

Ikiwa unaamini kuwa Huawei haisindiki maelezo yako ya kibinafsi kulingana na Taarifa hii au sheria husika za ulinzi wa data, unaweza kutuma lalamishi kwa mamlaka ya eneo ya ulinzi wa data iliyoko ndani ya nchi/eneo lako au Utawala wa Sekta ya Mtandaoni ya Uchina.

7 Tunasasisha Taarifa hii Kivipi?

Tunakuhimiza uangalie mara kwa mara ili kupata toleo la hivi karibuni la Taarifa hii ndani ya mipangilio ya programu kwani tunaweza kuisasisha mara kwa mara. Kunapotokea tukio la mabadiliko makubwa kwenye Taarifa hii, tutakuarifu kwa kutumia visanduku vya taarifa, ujumbe msukumo, barua pepe, na kadhalika, kulingana na hali ya mabadiliko.

MUHIMU: Taarifa hii ya faragha ni kujitolea kwa faragha kwa Kiboreshaji. Ili kupata maelezo zaidi, tafadhali soma %54$s.